| Mshiriki namba 6, Irene akionyesha manjonjo yake katika kucheza. |
| Mshiriki namba 3, Nahma Saidi yeye aliambua kuonyesha mambo ya Pwani. |
| Mshiriki namba 2, Ester Musa alionyesha kipaji cha kuimba. |
| Mshiriki namba 4, Diana Hussein akionyesha jinsi ya kubuni vazi. |
| Brigitter Alfred mshiriki namba 9 alionyesha umahili wake katika nyimbo za kihindi. |
0 Comments