Haya watani wangu wa jadi mnalo? Wanyamwezi wanakuonyesha kwamba nyumba ya udongo sio tatizo kama kila kitu muhimu kinapatikana ndani yake.Pichani AC au Aircondition ikiwa inaingiza kipupwe ndani ya mjengo.