Vijana wa CCM wakishangilia kwa mtindo wa aina yake wakati wa sherehe hizo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Sheini akiingia uwanjani wa Kibandamaiti, Wilaya ya Mjini, wakati wa sherehe za Wana-CCM Zanzibar kuipongeza safu mpya ya uongozi. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Wa tatu Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar) Vuai Ali Vuai.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiingia Uwanja wa Kibanadamaiti katika sherehe ya wana-CCM wa Zanzibar kupongeza safu mpya ya uongozi wa CCM Taifa. Wengine ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Vuai Ali Vuai, Naibu Katibu Mkuu (Bara) Mwigulu Nchemba na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia mamia ya wana-CCM katika Uwanjani wa Kibandamaiti.
Makatibu wa NEC, Mohamed Seif Khatib (Oganaizesheni na Asha-Rose Migiro (Siasa na Mambo ya Nje) wakiteta jambo wakati wa mkutano wa wana-CCM Zanzibar kuipongeza safu mpya ya uongozi wa CCM Taifa, kwenye viwanja vya Kibandamaiti, mkoa wa mjini.
Baadhi ya wana-CCM wakiserebuka.
(Picha zote na Bashir Nkoromo)
0 Comments