Mwanamuziki nguli wa dansi Barani Afrika, JB Mpiana (mwenye kofia) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam leo wakati akizungumzia onyesho lake litakalofanyika siku ya Ijumaa katika viwanja vya Leaders Club.