Cheti cha ulipaji kodi uliotukuka

Picha ya pamoja ya walipa kodi katika viwanja vya Nyerere Square Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Anne Makinda akifungu mkutano wa kujadili kanuni za Kudumu za Bunge mjini Dodoma. Kulia kwake ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda na Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah.