Katibu Mkuu wa moja wa mataifa Ban Ki Moon anatarajiwa kuwasili
nchini Uturuki hii leo katika siku ya pili ya ziara katika mataifa
yaliyoathirika na mzozo nchini Syria.
Takriban wakimbizi mia mbili elfu kutoka Syria wametafuta hifadhi Kusini mwa
uturuki. Wengi wanaishi katika kambi zisizokuwa na huduma muhimu.
Ban anatarajiwa kuzuru kambi moja kama hiyo na baadaye atafanya mazungumzo na
Waziri Mkuu wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan
0 Comments