Isaa akiwa na shada la maua na joho lake baada ya kukabidhiwa cheti chake cha kuhitimu elimu ya juu chuo cha Mipango Dodoma hivi karibuni.Pichani akiwa na wazazi wake wawili na dada yake kushoto pamoja na uncle wake aliyebebwa.

Isaac D.K. ( a.k.a LudaCris ) katikakati akiwa na wahitimu wenzake muda mfupi baada ya makabidhiano ya vyeti vyao katika chuo kikuu cha mipango mjini Dodoma.

Dada wa Isaac akiweka mambo sawa kwenye Camcorder ili kunasa tukio zima la kumbukumbu ya kaka yake kwenye sherehe za makabidhiano ya vyeti vya kuhitimu elimu ya juu chuoni hapo.

Akiwa na muhitimu mwenzake Isaac kushoto alipata nafasi ya kuchukua kumbukumbu na mdogo wake ambaye anaendeleza libeneke la kusoma chuoni hapo..Maganga One Blog inampongeza sana ndugu Isaaq kwa kuhitimisha na kunyakua cheti chuo kikuu.