Ni kijana mdogo mwenye kuja kwa kasi ya ajabu kwenye tasnia ya muziki.Kiukweli anafanya kazi vyema na mziki wake ni mzuri.Anakwenda kwa jina la Junior na shughuli zake anafanya nje ya Afrika.Tukisema nje ya Africa tunaamanisha kwamba muziki wake anaufanya katika bara la Ulaya.Ili kumjua vyema kijana huyu Kwamba mziki wake anafanya wapi na amejipangaje kimuziki? please stay tune hivi karibuni utaona mambo yake hapahapa kwa Blog yako ya Maganga One.