KIKOSI cha Kilimanjaro Stras leo kimetinga hatua ya Nusu Fainali ya Michuano ya Chalenji inayoendelea nchini Uganda.