Hapa ni kuonyesha utofauti kati ya THE HEG iliyoandikwa hapo juu na hii ya hapa chini
The Hague ya kwenye fulana ndio The Hague ya ukweli....Hivyo huyo aliyoandika hapo juu ajiangalie asije akaenda mahakamani yeye kwa kosa la kuandika kitu sivyo.