Ndugu zetu wa Zimbabwe wana noti moja yenye thamani ya laki mbili....yani huyo jamaa pichani ukiambiwa kwamba anakwenda kununua mbuzi mmoja kwa hela zote hizo utakubali?