Ndugu zangu na wapenzi wangu wa Maganga One Blog kwanza habari za leo na poleni na miangaiko ya maisha.Nimekuwa na kwikwi na kigugumizi cha kurusha habari siku za hivi karibu takribani siku zote,Hii inatokana na majukumu ya kikazi kuwa mengi zaidi na kunifanya nishindwe kabisa kuwapa habari kwa muda muafaka.

Nawataka radhi na uvumilivu kwa kipindi hiki kigumu kwa upande wangu..nitaendelea kuwapa habari na matukio kama kawaida japo nitakuwa nikichelewa.Tuvumiliane nina hakika tutafika,nawashukuru sana kwa
kuwa nami bega kwa bega.
                                                     Maganga One.