Ukiwa dereva kwa kipindi cha baridi hapa ulaya lazima uwe makini zaidi.Kwa  aina yoyote ya uzembe utasababisha ajali kubwa ambayo inaweza kuleta madhara kwako au kwa wengine.Pichani kama unavyojionea theruji inayoendelea kutiririka barabarani na pembezoni mwa barabara kama unga.