Hali ya hewa ni baridi sana japo barafu zinaendelea kudondoka kiasi kama unavyojionea...naelekea kazini tukutane baadae.