Mambo kama haya pia huchangia kiasi kikubwa sana kudidimiza elimu yetu.kwanini kusitafutwe njia mbadala kuwaelimisha wananfunzi.mambo ya fimbo au adhabu kama hizi ambayo hazina maana kama zitambadilisha mwanafunzi au kumzidishia akili .Suala la adhabu nalo liangaliwe sana,huwezi kumtukwa kijana tofali la kilo 15 kichwani wakati hujui afya yake ikoje,kanywa chai asubuhi?hana matatizo ya kichwa? hayo  ni maoni yangu ndugu zangu.