Katika hali ya hewa kama hii ukijifanya mwamba wa kunyonga baiskeli ujiandae kufungwa P.O.P maana saa yoyote unapiga mweleka kwa jinsi hiyo theruji inavyoteleza.ukikubali matokeo ni kufungia tairi zako kwa unyororo stand ya treni then unachukua kile chenye thamani zaidi na kuendelea na safari.Hali ya hewa ikirudi kuwa nzuri unarudi tairi zako na kuendeleza mipango yako.Leo kama unavyojionea hali ya hewa haikuwa nzuri kabisa.