Hali hii wamesema wataalam hao kuwa
inatokana na manii kuwa na kemikali ambazo humfanya mtu kuwa vizuri
kihisia, huongeza upendo/unyenyekevu, huchochea mtu kupata usingizi na
huwa na angalau aina tatu za kemikali za kuondoa msongo wa mawazo
(anti-depressants).
Utafiti huo uliofanywa kwa kuwahoji wanawake 293 kwa kufuatilia
maisha yao ya kujamiana dhidi ya afya za akili zao. Manii huwa na
mchanganyiko wa kemikali aina ya cortisol ambayo huongeza upendo,
kemikali aina ya esterone na oxytocin ambazo zote humfanya mtu kuwa
vizuri kihisia.
Pia, huwa na homoni aina za ‘thyrotropin releasing
hormone’, ambayo huondoa msongo wa mawazo, melatonin ambayo huchochea
usingizi na serotonin ambayo ni homoni inayoondoa msongo wa mawazo.
Kutokana kuwapo kwa mchanganyiko wa kemikali na homoni hizo kwenye manii
Matokeo ya utafiti
Matokeo muhimu ya utafiti huu ambao umechapishwa
katika jarida la ‘Archives of Sexual Behaviour’ ni kwamba hata baada ya
baadhi ya watafitiwa kuongeza kiwango chao cha kujamiana, wale ambao
walikuwa hawatumii kinga yoyote walikuwa na kiwango kidogo cha msongo wa
mawazo tofauti na wale ambao walikuwa wakitumia kinga kama kondomu
wakati wa kujamiana.
0 Comments