Goli la kuongoza la Manchester united lilipatikana hivii baada ya krosi ya nani  hayupo pichani.
 Reala Madrid nao wakasawazisha hivii
 Mchezaji wa Manchester United Nani akieshika kichwa baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu na kumuashiria aende nje ya uwanja.
 Mchezaji wa zamaji wa Manchester United Christian Ronaldo akiweka mpira kimiyani na kuandika bao la pili na la ushindi kwa timu yake ya Real Madrid
 Pamoja na kuwafunga Manchester bado washabiki walionyesha mabango ya kumkumbuka mchezaji wao wa zamani kama inavyoonekana hii picha
Sio wakubwa tu wenye mapenzi na Ronaldo,hata watoto wadogo bado wanamkumbuka,Maelezo ya bango nahisi Ronaldo hakuyaona maana angeyaona nahisi asingefanya alivyofanya mwanakidagaa yulee.Mpaka mwisho Manchester United 1-2 Real Madrid