Pichani juu ni baadhi ya nyumba ambazo zimeharibiwa kutokana na vurugu zilizotokea mjini Liwale,mpaka sasa inasemekana  watu wapatao 50 wanashikiliwa na vyombo vya usalama kutokana na kutuhumiwa kuhusika na vurugu na uharibifu huo.