Yanga imetwaa ubingwa kufuatia Azam FC kutoka sare ya 1-1 na Coastal Union. Azam FC hata wakishinda michezo yao miwili iliyobaki hawawezi kufikia pointi 56 ilizonazo Yanga. Hongera Yanga!

YANGA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!