Meza kuu  ambayo walikaa mashekh toka United Kingdom na wengine toka nchini Holland wakitoa mawaidha ya maulid siku ya jana.
                                         Meza kuu kwa upande wa kinamama
                                                           Wageni waalikwa
Jopo kuu la waandazi wa shughuli nzima ya mauled ni hili.toka kushoto ni Aunt Sekky,Brother Hasheem,aunt Jemmy,uncle James Biboze na Mrs James Biboze 
 Wallah maulid ilikuwa nzuri,kutoka kushoto ni aunt Jemmy,aunt Mwajey na aunt Sekky.
Aunt Sekky na Leyla Baraka

Kwa upande wa kinana hawa ndio walikuwa waandaji wakuu wa shughuli nzima,kutoka kushoto ni Aunt Jemmy na Dada langu la ukweli aunt Sekky.
                         Camera iliponasa kinana mama walipokuwa wakipata chakula
 Wageni ambao walikuwa makini kusikiliza mawaidha siku hiyo,mwenye blue ni Mrs James Biboze
Upande wetu wa kushoto ni aunt Sekky mwenye green na mwenye yellow ni bidada Leila Ngowi.Mash`Allah walipendezaa
Maulid ilikwenda vizuri na dada zetu walipendeza sana,kutoka kushoto ni Rehema,Mbonie na Rabia Nyembo
                     Tajiri wa Almere bwana KABILA akiwa na dada yetu Sekky
Kutoka kushoto ni dada Mgeni dada,Rabia, dada Shekha na Mrs James Biboze
Wakati mawaidha yakiendelea wageni waalikwa walikuwa wakisikiliza kwa makini
Baada ya shughuli kwisha kina mama walipata wasaa wa kubadilishana mawili matatu 
                                           Kiutulivu kabisa camera ilinasa namna hii
Maganga One Blog inatoa pongezi za dhati kwa waandaji wa shughuli hii ya Maulid ya Mtume wetu Mohammad s,a.w. na inawapongeza pia wale wote waliohudhuria siku hii nzuri kabisa Allah awafanyie wepesi kwenye kila lenye uzito  in sha Allah.