Samahani kwa kuiweka hii video,najua kuna baadhi ya watu roho zao ni nyepesi kuangalia matukio kama haya.Ila kuna mafundisho mengi ambayo mtajifunza kutokona na hii video,1.Watu kujichukulia sheria mkononi wakati kuna vyombo husika vya usalama na sheria. 2. Kwa wale wachawi wanaoangaisha nafsi za watu waone wenzao wanavyofanywa.Ahsanteni.Narudia tena kuomba radhi kwa hii video kwani sio nzuri kwa baadhi ya watu.