Walid ni kijana mdogo mwenye kufanya kazi zake za muziki nchini Uholanzi,ametoa nyimbo nyingi sana ambazo zote zinafanya vizuri..hii hapo juu ni moja ya kazi zake.