Hii ni sehemu ya kwanza ya Rais wa Vizion One, Inc, Bwn. Abdallah Kitwara. Akilonga na Vijimambo anaelezea maisha yake kwa ufupi, shule alizosoma na alishawishika na nini kufungua kampuni na kwanini alitumia VIZION yenye Z badala ya S mbali na Vizion One, Inc ana kampuni gani zingini hapa Marekani na Tanzania. MSIKILIZE