Rais wa Vizion One, Inc, Bwn. Abdallah Kitwara alonga na Vijimambo sehemu ya pili aelezea kampuni zake Tanzania na nini ushauri wake kwa Watanzania na Vijana wanaotaka kufuata nyayo zake, Msikilize.