Wachezaji wa Chelsea wakishangilia kikombe chao walichokipata jana baada ya kuichabanga timu ya Benfica kwa goli 2-1 kwenye klabu bingwa barani ulaya hapo jana.