Unajua ni nchi gani hii? Tunaweza kukubali hawa watu wana akili timamu?
 Je vyombo vya usalama barabarani nchini mwao hakuna?
Leo maswali yangu yatakuwa ni matatu tu kazi kwenu waungwana.....