Tarehe 24/5/2013 ilikuwa tarehe ya historia  Karim Maganga  na mkewe Mrs Karim pale walipokamilisha taratibu zimfurahishazo Allah S.W kwa kitendo cha kufunga ndoa.Pichani wakiwa na nyuso za furaha na glass za vinywaji baridi mikononi tayari kufanya Cheaazzz....!!!! Kwa kuwa Kiswahili kina maneno machache mazuri hivyo mimi sina jipya zaidi ya kusema ALLAH awaunganishe hivyohivyo mpaka siku ya malipo..Amen.