Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dkt Jakaya Mrsisho Kikwete akifurahia zawadi aliyopewa na makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi SSRA Bi, Jayne Nyimbo  akimtambia “ kuwa ni championi wa Hifadhi ya Jamii’wakati wa kilele cha wiki ya hifadhi ya Jamii hivi karibuni wakitizama ni waziri wa kazi na ajira Mh. Gaudencia Kabaka na Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi.
 Mh Waziri wa  Kazi na  Ajira  Mhe. Gaudencia Kabaka akifurahia zawadi aliyopewa na makamu mwenyekiti wa bodi ya SSRA  Bi. Jayne Nyimbo akimtambua jitihada zake katika kuendeleza sekta  ya hifadhi ya Jamii nchini

Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa SSRA waliosimama kuanzia  safu ya nyuma kuanzia kushoto Bw. Mchafu Chakoma na Bw. Jonathan Peles. Mstari wa pili ni  wakuu wa mifuko ya hifadhi ya Jamii Tanzania Bara  wakiwa tuzo  kutoka  SSRA. Walioketi kuanzia kulia ni Mkurugenzi mkuu wa SSRA  BI. Irene Isaka , Makamu mwenyekiti wa Bodi Bi, Jayne Nyimbo, Raisi   wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt Jakaya Kikwete, waziri wa kazi na ajira mh. Gaudencia Kabaka na mkuu wa mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi  
Picha ya  Mgeni rasmi  akiwa pamoja na baadhi ya wajumbe wa  menejimenti ya SSRA  wakati wa kilele cha maonesho ya wiki ya hifadhi ya Jamii mjini Dodoma
Picha ya Pamoja yakamati ya maandalizi na Wanamaonesho wa wiki ya hifadhi ya Jamii chini ya uenyekiti  wa Bi, Sarah Kibonde Msika – Mkuu wa   Mahusiano na Uhamasishaji SSRA