Leo ni siku ya kuzaliwa kwa bidada Ashley TOTO...pichani akiwa na mtoto wake kipenzi Chantal.Maganga One Blogger anampa pongezi za dhati TOTO kwa siku yake hii ya kufurahi.Ujumbe wangu kwake [kaza buti sana kwenye sanaa kwani una kipaji hivyo kiendeleze].