Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, akiendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM, leo mjini Dodoma

 Taswira kwenye kikao hicho cha Kamati Kuu ya CCM.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kufungua na kuendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM, leo katika ukumbi wa Jengo la White House mjini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Sheni na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula.
(Picha na Bashir Nkoromo / GPL)