Rais wa Marekani Barack Obama hapo juzi alisahau kupiga salute kwa mwanajeshi kabla ya kupanda ndege..Pindi alipogundua alirudi na kumtaka radhi kwa kumpa mkono...angalia video inajieleza.