Picha yetu ya leo inaonyesha baadhi ya watu waliofuaniwa katika nyumba ya wageni....Katika wiki za hivi karibuni kumetokea wimbi la fumanizi kila mara,swali..Hali hii inasababishwa na nini?