Walimbwende wanaowania taji la Redd's Miss Uswawi wa Jamii 2013,wakiwa wameweka pozi kwenye picha ya pamoja
wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na shindano lao hilo linalotarajia
kufanyika Ijumaa hii (mei 17,2013) katika Ukumbi wa SunSirro,Sinza
jijini Dar es Salaam huku wakisindikizwa na Malkia wa Mipasho
Tanzania,Bi. Khadija Kopa na Msanii wa Bongo Fleva,Barnaba.