Sensei Rumadha Fundi akielekea kuchukua Nondozi

Sensei Rumadha Fundi ajiongezea taaluma kutoa Usensei wa Karate na Mwalimu wa Yoda na sasa  mtaalamu wa tiba za binadamu upande wa mapafu !
Si  mwingine bali yule mtanzania mtaalamu wa michezo ya Karate na Yoga
Sensei Rumadha Fundi (3rd Dan,Black Belt ) mwenye maskani yake kule 
marekani . 

Sensei Rumadha na mkewe Anita pamoja na mdogo wake Rumadha,Kibwana Fundi katika shangwe.

juzi 17 Mai 2013 Sensei Rumadha Fundi akishangiliwa na kupongezwa na 
ndugu na marafiki waliomshuhudia akipokea Degree  "Associate in Applied Science Cardiopulmonary Respiratory Care" "Collin College, McKinney, Texas, USA.
Sensei Rumadha Fundi
anongezea C.V yake kwa kula nondo ya utaalamu wa tiba za mapafu na moyo,Sensei Rumadha sasa amekuwa mtaalam
Sensei Rumadha Fundi (mstari wa nyuma) akiwa na wataalamu wenzie wa mapafu.

Respiratory Therapist: Mtaalam wa hewa na gas ya kupumua anaye tibu mapafu na moyo chini ya maelekezo ya mganga wa mapafu"pulmonalogist. Pia, Respiratory therapist anamajukumu mengi kama kuwatibu wagonjwa wa pumu,COPD,Ephysema,Asthma,TB na majonjwa yote yanayohusu mapafu na moyo.
Sensei Rumadha akiwa binamu Dotto Haruna.

Pia,anauwezo wa kutafsiri damu baada ya kupima hali yamgonjwa kama ana oxygen ya gas inahitaji tiba yeyote.
Kwa mengi zaidi  kuhusiana na utaalam wa Respiratory Therapist fuata Link ile ipo mwisho wa "Who is Respiratory Therapist? 
http://en.wikipedia.org/wiki/Respiratory_therapy
Sensei Rumadha akiwa na ndugu na marafiki

Kumjua zaidi Sensei Rumadha Fundi bofya at http://dartalk.com/2013/04/22/sensei-rumadha-fundi-romi-mtaalam-wa-ngazi-za-juu-wa-karate-na-yoga%E2%80%A6/