![]() |
| Kocha wa Manchester United, Sir Alex Ferguson, akisalimiana na mashabiki baada ya kuingia uwanjani Old Trafford kwa mechi ya timu yake dhidi ya Swansea City jana. |
![]() |
| Sir Alex akisaini 'autographs' baada ya kuwasili uwanjani Old Trafford. |
![]() |
| Mashabiki wa Manchester United wakiwa na mabango wakati wa mechi ya timu yao dhidi ya Swansea City. |



0 Comments