Kipa wa Simba, Juma Kaseja akijaribu bila
mafanikio kuokoa mpira wa kichwa uliopigwa na mshambuliaji wa Yanga, Didier
Kavumbagu katika mchezo wa kufunga pazia la Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika
kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Kocha wa Yanga, Ernst Brandts akiwa amebebwa na wachezaji wake.

 Wera wera Yanga....Oyaa Oyaa Oyaaaaa.....Kiduku staili inachukua nafasi..jamani ushindi raha..!!


Nahodha wa Yanga, Nidir Haroub 'Canavaro' akiwa amenyanyua kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara pamoja na wachezaji wenzake.
[picha kwa ihsani ya Michuzi]