Mshindi wa shindano la mrembo wa Redds Miss Hai 2013 Winnie Shayo(
katikati) mshindi wa pili Mary Chemponda (kulia kwake) na mshindi wa
tatu Catherine Leonard wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya
kutangazwa washindi.
Mwakilishi wa TBL wilaya za Siha na Hai ,Edimund Rutaraka akikabidhi
pesa taslimu kwa mshiriki wa shindano la kumtafuta Redds Miss Hai 2013
aliyeshika nafasi ya tano.Picha na Dixon Busagaga,Hai.