Fahad akiwasalimia watu kabla hajaanza zoezi la ukataji wa keki hapo jana...kijana Fahad alitimiza miaka 3 tarehe 25/06/2013.Aliona amsubiri mdogo wake ili washeherekehe pamoja siku yao ya kuzaliwa..unaweza kumuona mdogo wake na Fahad picha ya chini kabisa.
Fahadi akianza zoezi la ukataji wa keki.Allah amfanyie wepesi katika makuzi yake In sha Allah.

Pichani kijana Seif akiwa tayari kupokea maelekezo ya ukataji wa keki yake hapo jana...Jana ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwake na sasa ametimiza mwaka 1.Sherehe ya kuzaliwa kwa Seif iliambatana na sherehe ya kaka yake pichani juu..

Pichani Fahad  waliokaa wa pili kutoka kulia akiwa na wanafunzi wenzake  juzi kabla ya kufunga shule.