Leo ni siku ya baba duniani,kuonyesha upendo zaidi asubuhi ya leo nimempeleka binti yangu kumfundisha shopping.
Mchana tukajumuika pamoja na mabinti zangu  kwa BBQ..Baba ni kiungo muhimu kwa watoto.Wazazi wenzangu tujitahidi kuonyesha mapenzi kwa watoto wetu,na suala la ulezi lisiegemee kwa mama tu kila mmoja ni jukumu lake kuhakikisha watoto wanapewa haki za msingi.