Randy Miller akicheza na chui wake Eden.

 Chui Eden akiwa amemdondosha chini mwalimu wake Randy
Randy akiwa chini baada ya kudondoshwa na Eden.

Marafiki hao wawili wakiwa katika pozi.Taswira hapo juu zinamwonyesha Bwana Randy Miller (45) akicheza na chui wake aitwaye Eden ambaye amemfundisha jinsi ya kufanya mashambulio yasiyo na madhara na ambaye amekuwa akimtumia katika kucheza filamu mbalimbali.