Mwenyekiti wa kamati Bwn. Baraka Daudi akitia saini kitabu cha wageni. |
Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn Idd Sandaly akitia saini kitabu cha wageni. |
Katibu msaidizi wa kamati Julius Katanga akitia saini kitabu cha wageni.
Kutoka kushoto ni Afisa Ubalozi Edward Masanja, Idd Sandaly, Baraka Daudi, Kaimu Balozi Mama Lily Munanka, Afisa Ubalozi Suleiman Saleh Dj Luke na Julius Katanga.
Kamati na maofisa Ubalozi wakimsubili Kaimu Balozi mama Lily Munanka (hayupo pichani).
Bwn. Idd Sandaly, Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV(kushoto) wakiwa kwenye kikao cha kamati ya maandalizi na maafisa Ubalozi wakiongozwa na kaimu Balozi mama Lily Munanka katika kujadili maandalizi ya miaka 3 ya sherehe ya Vijimambo na Tamasha la Utamaduni wa Kiswahili.
Afisa Habari wa Ubalozi Mindi Kasiga akichangia jambo
0 Comments