Blog ya Vijimambo ikishirikiana na Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini, Washington, DC, Marekani na Jumuiya ya Watanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia wanapanga kusheherekea miaka 3 ya Vijimambo na kukuletea tamasha ni kuendeleza lugha na utamaduni wa Kiswahili hapa Marekani ili watoto wanaoishi huku waweze kuendeleza matumizi ya lugha hii na utamaduni wake kizazi hadi kizazi. 

Siku ya July 6, 2013  hapa DMV kwenye Hall la Hampton Conference Center lililopo 


207 w Hampton Pl, 


Capitol Height, MD

Mambo mengi yatakuwepo, Vikundi mbalimbali vya utamaduni, wanamitindo ya mavazi mbalimbali kuwakilisha, vyakula vya Kitanzania, Wasanii kutoka nyumbani Shilole na Masanja wakishirikiana na hapa Marekani yote ni kudumisha utamaduni wetu wa Kiswahili
HOTEL KWA WAGENI 




Tumeongeza vyumba 35 Hotel ya Country Inn & Suites 


Na unapopiga simu uliza SWAHILI CULTURE IN USA kusudi upate unafuu wa bei nambari ya simu ni 301 350 8088 na Addrees ni


8850 Hampton Malls Drive North


Capitol Heights, MD 20843
 
Hotel za jirani na hapa ni


Hampton Inn


9421 Largo Dr West,


Largo, MD 20774


simu ni 301 499 4600
 
 
Extended Stay American


9401 Largo Drive West,


Largo, MD 20774


simu ni 301 3339139

Confort Inn


56 Hampton Park Blvd


Capitol Heghts, MD20743


Simu ni 301 336 8900
-------------------------------------------------------
kwa wajasiriamali ambao wangependa kudhamini na kuijipatia meza ya kutangaza bidhaa au shughuli wazifanyazo tafadhali wasiliana 301 613 5165, 301 661 6696 na 301 792 8562 mwisho ni June 15, 2013 Asante