Salad iliyotengenezwa kiufundi ilipatikata kwenye shughuli za dua hapo jana.
        Kwa upande wa kinababa nao walijumuika vyema kwenye kupata sadaka
                          Mke wa Yusuf  kulia akiwa na wageni wake wakipata sadaka
                         Kaka Rachid akipata sadaka na wengine wanafuatia taratibu....
                Ustadh Dulla akiwa na mkewe kipenzi mama Nabil wakipata Sadak
                                                    Mastaa wa kijijini kwetu
      Wageni waalikwa toka sehemu mbalimbali wakiendelea na vinywaji baridi
Hapa ndugu Eddy akiwa na dada Azza wakibadilishana mawazo baada ya duaa kuisha

                                              Mr n` Mrs au Baba na Mama Karim
              Baadhi ya wajumbe wetu wakibadilishana mawazo baada ya dua
Ndugu yetu MAN toka Holland akiwasili kwenye shughuli ya dua hapo jana.
Mmoja wa familia ya waliotualika kwenye dua hapo jana akipiga salut kuashiria kwamba kila kitu kilikwenda sawa...ahsante Dj Abdul.
 Dua ya shughuli yeti ilihitimishwa na ustadhi wetu Ibrahimu[Imu] kama uonavyo pichani.
Penye wengi pana mengi...waungwana wakibadilishana mawazo baada ya kupata sadaka

 
PEACE....AMANI....UPENDO hiyo ndiyo ishara aliyotoa Fatma Mashauzi Classic....kama hutaki PEACE kazi kwako
Shughuli yoyote kukiwa na watoto ujue pana AMANI...jana palikuwa na AMANI na kila kitu kilikwenda sawa...Allah awabariki wale wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine kufanukisha shughuli nzima.