Aj Mbongo (Bass
Chipukizi wa FFU alikuapo.

FFU kazini kwao (mwenye miwani) ni kamanda Ras makunja. 
 Guitarist Matondo Benda
Mr.Jo Jo, Mkaanga Chips wa Ngoma AFrica 
 Ngoma Africa Band Live at jambo seehim,Germany 28.07.2013
Ngoma Africa band on stage Jambo seeheim Festiva 2013


FFU wa Ngoma Africa Band Yafanya kweli Jambo Seeheim Festival,Ujerumani
Si nyingine bali ni Ngoma Africa band a.k.a FFU ughaibuni,bendi maarufu yenye
ngome yake kule Ujerumani,chini ya kamanda wao Ras Makunja,bendi hiyo
imefanya kweli siku ya jumapili 28.08.2013 katika maonyesho ya Jambo Seeheim Festival,yaliyofanyika mjini Jugenheim-Seeheim,nchini Ujerumani kuliko ungua shoka mpini ukabaki,kama kawaida yake Ngoma Africa band ilianza kuwasha muziki
mkali na kuwatia kiwewe washabiki waliokuwapo katika onyesho hilo,bendi hiyo yenye utajili wa wanamuziki wenye vipaji akiwemo afande Christian aka Chris-B,
na yule kijana Jonathan Souza a.k.a Jo Jo.
Usikose kupata burudani za FFU at www.ngoma-africa.com au http://www.ngoma-africa.com