Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa wajumbe wa Chama cha  Makampuni ya Simu za mkononi na Bw. Manoj Kohli wa Airtel ambaye pia ni Mkurugenzi wa Pamoja wa chama hicho alipokutana nao kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam Julai 23, 2013.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bi. Beatrice Singano, mmoja wa wajumbe wa Chama cha  Makampuni ya Simu za mkononi alipokutana nao kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam Julai 23, 2013.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na maofisa waandamizi wa Wizara ya pamoja na wajumbe wa Chama cha  Makampuni ya Simu za mkononi alipokutana nao kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam Julai 23, 2013.
(PICHA NA IKULU)