Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza katika majumuisho na ziara yake ziara ya mkoa wa Njombe,Julai 14,2013. Kulia ni  Mkuu wa mkoa wa Njombe,
Kapteni Msangi. Na wa wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo, Deo
sanga.

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza wakati Waziri
Mkuu, Mizengo  Pinda alipopokea taarifa
ya mkoa wa Ruvuma baada ya kuwasili kwenye Ikulu Ndogo ya Songea kwa ziara ya
siku nane mkoani humoJulai 14,2013.Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,
Thabit Mwambungu. 

 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza wakati Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda alipopokea taarifa ya mkoa wa Ruvuma
baada ya kuwasili kwenye Ikulu Ndogo ya Songea kwa ziara ya siku nane mkoani
humoJulai 14,2013.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Mkuu wa wilaya
ya Njombe, Sarah Dumba baada ya kumaliza ziara ya kikazi mkoani Njombe Julai
14, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)