Meneja wa KCB  Bank Tawi la Stone Town mjini Zanzibar, Cosmas Mwankemwa akizungumza kwenye sherehe ya kukabidhi msaada wa vifaa vya kuhifadhia watoto wachanga ambao hawakutimia umri wa kuzaliwa "njiti" kwaajili ya hospitali ya Kivunge Zanzibar jana vikiwa na thamani ya sh.12 million

Meneja wa Benki ya KCB Tawi la stone Town Zanzibar, Cosmas Mwankemwa (kulia) akikabidhi vifaa vya kuhifadhia watoto wachanga ambao hawakutimia umri "njiti" kwa  Dk.Yussuf Haji,ikiwa ni dhamana ya hospitali ya Kivunge Zanzibar jana vikiwa na thamani ya sh.12 milioni.