No Comment |
Wageni wetu toka sehemu mbalimbali na mataifa mbalimbali walijumuika nasi katika sherehe hii ya Eid el fitr
Diwani wetu wa Mol shekh Mohamed a.k.a. Moddy akibadilishana mawazo na wageni wetu waalikwa.
Raha ya sikukuu ni kufurahi na kupongezana ..pichani Maganga One Blogger uso kwa uso na ndugu Ibrahim toka landen nchini Belgium
Maganga One Blogger akilakiwa na Diwani wetu shekh Moddy kwenye sherehe za sikukuu ya Eid hapo jana
Kama kawaida penye sherehe zetu lazima tuwe na watoto wetu
Dada langu la ukweli Mariam akiwa na baby Fatma ndani ya pozi la Eid...
Mjasiriamali wa ukweli Fatma Mashauzi Classic akikupa smile ya Eid....Unalo?mke wa Eddy jamani..
Watoto zetu wa kijiji chetu nao walipata furaha ya Eid kama unavyowaona |
Kina na mama wakipa maakuli
Sadaka ya Eid ikiendelea
Dada yangu Dida akitabasamu kuonyesha Eid ni siku ya furaha....Nice Dida
Kwa upande wa kina baba mambo yalikuwa hiviii
Yakaendelea hiviii
Behind the scene mambo yalikuwa hivii
Waungwana wakibadilishana mawazo....Nice One
Shekh Khamis akiwa na shekh Samir wakiwa wametulia vyema baada ya msosi
Mama wa kijiji walioiandaa shughuli bila kumsahau Mashauzi Classic hayupo pichani |
Hongereni kina mama kwa mapochopocho kwani watu wote tuliipenda sikukuuu |
0 Comments