Ile movie iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa sasa yamebaki masaa machache tu ili iweze kuzinduliwa..Kwa wale watakaojaaliwa kuja anuani hiyo hapo kwenye picha na kiingilio ni euro 5 tu..Filamu itaanza kuonyeshwa saa Kumi na nusu jioni,tiketi zitauzwa mlangoni na si vinginevyo.